mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 220 May 23, 2023 #1 Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini enline_g✅
Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini enline_g✅
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 May 23, 2023 #2 Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.
Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,799 Reaction score 22,209 May 23, 2023 #3 Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini
mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 220 May 24, 2023 Thread starter #4 Dr Matola PhD said: Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar. Click to expand... haaaa kweli sio makondee tyu mwangalie sadalaaaa naye alisema atarejea lakin wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Dr Matola PhD said: Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar. Click to expand... haaaa kweli sio makondee tyu mwangalie sadalaaaa naye alisema atarejea lakin wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 220 May 24, 2023 Thread starter #5 Ivan Stepanov said: Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini Click to expand... umakini unahitajika sanaa
Ivan Stepanov said: Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini Click to expand... umakini unahitajika sanaa
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,799 Reaction score 22,209 May 24, 2023 #6 mr_stev001 said: umakini unahitajika sanaa Click to expand... Sanaa