Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kujihusisha na kufungua simu zilizofungwa na TCRA ili kubadili uhalisia wa IMEI namba.
Wakisomewa mashtaka hayo na wakili wa serikali Esther Martin mbele ya Hakimu mkazi mwandamizi Augustina Mbando watu hao Abdul Nassor na Said Msangi ambao ni mafundi simu kariakoo Dar es Salaam wanadaiwa februari 27 mwaka huu walibadili namba tambulishi ya simu aina ya Tekno.
Wawili hao pia wanadaiwa kubadili namba za simu tambulishi maarufu IMEI.
Chanzo: Azam Tv
-----
MAWAZO YANGU:
Hawa vijana tungewapeleka kwenye vyuo vya ufundi wawaongezee ujuzi vijana wetu walio mafunzoni
TCRA iwatumie kujua huo utaalamu,hawa ni hazina haina haja ya kuwafunga.
Sent using Jamii Forums mobile app