Wapangaji mnalalamika sana, Nimeamua kutengeneza App ya kukodi moja kwa moja bila Dalali

Nodus

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
398
Reaction score
1,105
Habari za Jioni,

Wengi wenu hampendi madalali, mnaona kama kutoa kodi ya mwezi ni issue, basi msijali, leo mmefikiwa.

Hii app ni ya iOS nimeandika mwenyewe kama hobby, sina team yeyote hivyo anayetaka kujiunga kwenye hii project aseme, maana nina kazi kazi nyingi za kufanya.

Demo video yake hio chini, sijapublish bado kwenye app store.


View: https://www.youtube.com/shorts/2Pz3dTY-6L0
 
Kama ni kweli push sana maana Be foward nae anayo anaitangaza kila kona
 
Kama ni kweli push sana maana Be foward nae anayo anaitangaza kila kona
App ipo tayari shida ni weekend coder, hii inahitaji manual review ya kila post maana wabongo hawachelewi kuigeuza danguro
 
Nataka kujiunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…