Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya

Hii issue mkuu inajulikana toka Soko lilivyoungua watu waliambiwa ila sio official, sasa hivi wameletewa tu makaratasi kukamilisha utaratibu, mi mwenyewe bado kidogo tu niingie mkenge kulikua na Nyumba ya 220k kuna mtu akanitonya nikachomoa.

Na sio Jengo moja kuna majengo kibao yamezunguka hilo soko yote yanabomolewa na serikali inaingia ubia na watu Binafsi, mengine tetesi kutakua parking ya Soko.
 
Dc wa kilosa huku morogoro ni mzanzibar, huko mliko kama Dc naye katikea huko huko imekula kwenu.
 


Haki gani? Hamkusign mkataba ba kubariki notice ta miezi mi 3?
 
Huo ni utaratibu, Kwani kupangishwa si kununua, taratibu ya notice ni miezi mitatu, wapishe maboresho mapema
 
Uonevu tu !!
Uonevu uko wapi?!
Yaani unataka.uonewe huruma kwenye nyumba ya mtu mwingine?! Unapopanga ujue sio kwako, na maamuzi kama haya ni sehemu ya Kawaida ya Mwenye Jengo. Huwezi kunifanya nisiendeleze Jengo kisa wewe huna pa kwenda..pale sio kwa baba yako, basi kama umeshindwa basi turudi kijijini.
 
Nyumba hizo ni za baba yetu Serikali !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…