WAPARE WAOMBA URAIA KENYA WATAKA KUTAMBULIWA RASMI

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Waparee mpoooo

Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya

Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya

BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia analifanyia kazi kabla ya July watakuwa Wana URAIA rasmi

AMeshukuru WAPARE ambao wako Kenya zaidi ya miaka 9 sa walifanya kilimo na kazi mbali mbali za ujenzi WA taifa

Na ameomba atalifanyia kaziii

Waparee oyeeee

Ngoja nkaoe mpareee Kenya nisipate shida na wakwe zanguu
 
Ukampididy auu
 
Ky
 

Attachments

  • IMG_20250114_183812_671.jpg
    384.1 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…