WAPE HI WAUZA SURA ...ULIO SOMA NAO SHULE...

WAPE HI WAUZA SURA ...ULIO SOMA NAO SHULE...

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
Kuna wauza sura waleee wasafiii ...na wale wa piga mathee ....wapiga kengeree ......waanzisha nyimbo shulenii ..waandika notees ubaoni....mamodo wa shule ...walimu wanafunzii ....N.k tuwapee hi jamaniii
 
mm mpiga maths, nilikuwa nakusanya darasa zima nawasolvia
 
nilikupa barua badala ya kuisoma wewe ukampa aisome mwalimu.vp ushamaliza kozi yako ya usister
 
Back
Top Bottom