Wape mipaka ya kukufahamu na usikubali waivuke, kuwa mkali kwenye hilo

Wape mipaka ya kukufahamu na usikubali waivuke, kuwa mkali kwenye hilo

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU.

1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu.
2.Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako.
3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia yako.

KWANINI KUWEKA UKOMO?

Kwa sababu kadri unavyoruhusu kufahamika ndivyo unajiweka wazi na kujiondolea ulinzi hivyo inatakiwa uwaelewe zaidi watu kuliko wao wanavyokuelewa ili ujue nani anastahili kufahamu kipi kutoka kwako

Mwanasayansi Saul kalivubha
#fikia ndoto zako
 
Back
Top Bottom