Wape neno moja wakali wa msimbazi kutoka Brazil

Jamaa wamekuja kupiga dili bongo kwao hamna ishu
 
Walikuja na gari ya matikiti watarudi na gari ya mananasi
 
Mimi na waambia tu wakumbuke dhithi idhi Tanzania tunajali ndumba kuliko vipaji.

napia uwape ujumbe kwamba, kocha hananguvu yakumpanga mchezaji amtakaye,Wala kucheza mfumo anaoona unamfaa. wenye uwezo huo ni wachache wenye pesa zao.
 
Waache zarau yakukubalikubali tu kusajiliwa wakati hawajui waone aibu bx
 
Wakati mwingine wasikubali kujiharibia CV zao kirahisi kabisa kwa kusajiliwa na timu yenye mashabiki wengi 'mbumbumbu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…