Wapelelezi wa UN wabaini maovu yaliyotendwa na Warusi kwenye miji ambayo imekombolewa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watoto walibakwa, kuteswa na kuuawa pamoja na maovu mengine mengi....
Ripoti kama hii ni muhimu maana itachangia kwenye kuikandamiza Urusi, nashukuru maana hata China niliona juzi wameanza kuchomoa...

===================

  • Children were raped and confined in Ukraine, report says
  • Investigators liaising with war crimes court on findings
  • Russia has reguarly dismissed accusations of abuses
  • Commission will look into alleged forced transfers next
GENEVA, Sept 23 (Reuters) - War crimes including rape, torture, executions and confinement of children were committed by Russia in areas it occupied in Ukraine, the head of a U.N.-mandated investigation body said on Friday.

The commission is one of the first international bodies to reach the conclusion on the basis of field evidence. Ukraine and its Western allies have accused Russian soldiers of a litany of abuses since the Feb. 24 invasion, but Moscow has regularly dismissed the allegations as a smear campaign.
 
Uzi UMEBUMA🤣🤣 ili uzi wako uchangamke hapo kwenye kichwa cha habari toa neno UN weka neno USA
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi propaganda zako za chuki dhidi ya RUSSIA ilihali ukiwa na mahaba niue kwa USA?
 
Tayari UN wametoa ripoti, ina maana waliokua wanampa shavu Urusi na ni wanachama wa UN wote watapaswa kutii msimamo utakaolewa kama kauli ya UN
 
Back
Top Bottom