Wapemba bwana hahaaaaaa

Kuna jamaa huwa nasikia wao kuchepuka kula vya wake za watu sawa ila wao wake zao nasikia ni strictly kuliwa hawataki hata kusisikia nini kuona [emoji3][emoji3][emoji3]

Wanaume wakipemba wengine wanavisasi vya ajabu sana!

Hata akiachana na mwanamke atahakikisha anamharibia huko aendako , sasa unajiuliza kwanini yote hayo?

Nazani wanatakiwa kupata mafundisho ya kisaikolojia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila kweli likiwa linakuja...hamna kungojana unatangulia tu...tutakutana bandarini
 
Mimi huwa namwambia unaambiwa ukazane we upo nyuma nyuma..ndo nishakuacha hivyo...ngoja safar nyingine tena
 
Swali; ..Muungano mwautakhaa!!!??

Jibu;... Twautakhaa shekheee!!!

Kiitikio; .Basi enshalaaa!....hivo hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…