Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Yatamkuta ya Gachagua wa Kenya. La sivyo hawa wajinga wanaweza kuuana.Kiwake tu hakuna namna mtu apelekewe moto
Aisee tushafika hapa?!View attachment 3600304
Kwa namna My Mbunge huyu wa Visiwani alivyoongea ni dhahiri hakuna maelewano kati ya Rais na Makamu Wake na kati ya Viongozi wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Maneno ni makali hata wabunge wameogopa kupiga makofi! Je hawajafurahishwa? Au ni mpasuko mwingine kati ya Wabunge wa Bara na Visiwani? Tutatoboa 2030 tukiwa salama?
Acheni kujenga hoja za kipumbavu, nyau km mwakilishi hana uwezo wa kujua mahusiano ya Rais na makamu wake, zile ni hisia zake tu ukizingatia wazanzibari kwa asili ni wadini sana na hawajawahi kuwapenda wabara, ni wabinafsi mno, ila chama kinatakiwa kimwite ajieleze alimaanisha nini wasipofanya hivyo basi jamii itaamini kuna ugomvi kati ya Samia na Nchimbi, hayo mapimbi madogo ni hatari sana wasiyapuuzieView attachment 3600304
Kwa namna My Mbunge huyu wa Visiwani alivyoongea ni dhahiri hakuna maelewano kati ya Rais na Makamu Wake na kati ya Viongozi wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Maneno ni makali hata wabunge wameogopa kupiga makofi! Je hawajafurahishwa? Au ni mpasuko mwingine kati ya Wabunge wa Bara na Visiwani? Tutatoboa 2030 tukiwa salama?
Sio kwa nchimbi na backup nyuma ipo ya kutosha yaani yule shetani haendi popote this time damu za watu zinamlilia hafi kifo cha kawaidaYatamkuta ya Gachagua wa Kenya. La sivyo hawa wajinga wanaweza kuuana.
ππππ Mpasuko inaonyesha wazi kuwa upo tangu kitambo tuAcheni kujenga hoja za kipumbavu, nyau km mwakilishi hana uwezo wa kujua mahusiano ya Rais na makamu wake, zile ni hisia zake tu ukizingatia wazanzibari kwa asili ni wadini sana na hawajawahi kuwapenda wabara, ni wabinafsi mno, ila chama kinatakiwa kimwite ajieleze alimaanisha nini wasipofanya hivyo basi jamii itaamini kuna ugomvi kati ya Samia na Nchimbi, hayo mapimbi madogo ni hatari sana wasiyapuuzie
πππWatu 65m wanategemea akili kama hizi ziwatoe kwenye umasikini!!
Sijui kama usalama upo kama tunavyoaminishwa na Kihongosi.Aisee tushafika hapa?!
Nani kajenga hoja ya kipumbufu! Msajili Sisty Nyahoza anakuhusu, haiwezekani utumie lugha chafu halafu ukodolewe macho tu. Na technolojia hii taarifa zinakosekanaje?! Kwani huyo Rais na Makamu wake wanaulimwengu wao peke yao hadi watu wakose taarifa?! Ni mangapi yanafichuliwa bila kufuata utaratibu rasmi? Yuda kama YudaAcheni kujenga hoja za kipumbavu, nyau km mwakilishi hana uwezo wa kujua mahusiano ya Rais na makamu wake, zile ni hisia zake tu ukizingatia wazanzibari kwa asili ni wadini sana na hawajawahi kuwapenda wabara, ni wabinafsi mno, ila chama kinatakiwa kimwite ajieleze alimaanisha nini wasipofanya hivyo basi jamii itaamini kuna ugomvi kati ya Samia na Nchimbi, hayo mapimbi madogo ni hatari sana wasiyapuuzie