WAPENDA MATRAKO HARMONIZE KIMEMLAMBA HUKO

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Lile dada la kimarekani lenye trako lake, limeonekana kwenye kudos ya harmonize inasemekana walitongozana, jamaa kaanza kula k, lile manzi likacbukua kadi ya benki likatoa milioni kumi, HARMO kushtuka kumfata kiwanja kumkwapua ile kadi nakudai limepiga 10 millions, sasa demu kachukia kaona kama kadhalilishwa kavujisha video harmo akilia machozi kisa lenyewe limesema bado Kuna video zaidi litaa achia watu, weweuweeee letreeeeeee vidreoooo hzrookooooo
 

Attachments

  • VID_20261004_053528_043.mp4
    19.1 MB
  • VID_20261004_045147_988.mp4
    22.1 MB
Kuna cha kujifunza hapo japo ni uzizi mixer ushetani
 
Hizo ni Kiki ili Video ifanye vizuri mkuu? Sasa million 10 ndio ya kulia?
Hamna kiki ya hivo hapo ni kumuaibisha harmo nakupoteza ushawishi wake kwenye kampuni alizo ingia nazo mikataba wa ubalozi, unasema kiki video zinaachiwa muda wiwote mkuu
 
Mademu wa kimarekani huwa hawana siri ni taarifa tuu kwa msiojua,sio kick ni culture yao
 
Hizo tabia alijifunzia WCB, maana huko ndio michezo yao
Subiri uone, kiki zipo ila kwa huyu manzi sio kiki, jamaa alitaka kiweka Kambi ila matumizi yake USIKU mMoja tu milioni kumi we usha ona wapi? Jamaa katonywa kaka hapo utafilisika punde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…