WAPENDA MATRAKO HARMONIZE KIMEMLAMBA HUKO

Jamaa ni mjinga mjinga tu, kumbe hata vichaa humu wapo
Dogo huwa analeta mada za kike kike sana, halafu ukitofautiana naye mawazo lazima akutukane. Sasa watu kama hawa lazima ni mapunga.
 
Maigizo yamekuwa ya kiwango cha SGR.. GenZ mheshimiwe
 
Wakati nazaliwa; nilikiwa naambiwa Mwanaume hatakiwi kulia... Ila nilikuja kushangaa kuona CR7 analia. Ila wanaume wa sasa hivi wanalia lia sana kama wanawake.

Hivi ikitokea vita ya 3 ya Dunia tutawaweka kundi gani?
 
Kicki
 
Harmo hapo kashapagawisha na hiyo chemba ya maveee itakuwa ndio chanzo cha huo mchozi wote...
 
Acha Apigwe Mzee Wa Chitohori Tandahimba
Amekaa Kishambashamba Na Umri Huo
Utapigwa Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…