🤣🤣Wengi ni new id
Hilo jina tamu sana😋
Wewe tena😃Hilo jina tamu sana😋
. Mimi ni nani mpaka nipinge idara ya ......Kimaskhara??? 😋😋.Mbona kama umenipania hivi nakuja kuchukua shati tu au ndiyo tutaupdate na ule uzi wa Rikiboy (kimasikhara)😀😀
Wamekuverifai? 😻😻Nasikia harufu ya toyeye😂
Kama Clouds tvWamekuverifai? 😻😻
🥰🥰 Maua yamenukia mpk huku yana harufu nzuriii..!
Nimeghairi baki na shati lako fupi hilo😀😀 na choppa ikija naitupia mawe😀. Mimi ni nani mpaka nipinge idara ya ......Kimaskhara??? 😋😋.
. Ninachoomba tu, anga lisiwe na mawingu mengi, ili chopa isilete hitilafu huko juu.
Umewapa nini? Umemkaangia Max mayai?🤔Kama Clouds tv
Hata gizani nakujua😂🤣🤣🤣 Tulia wewee 🤒
Ongea na watu vizuri🤣Umewapa nini? Umemkaangia Max mayai?🤔