Imebidi niibie ronja😂 asinge ropoka nilihisi ni yeye 😔 nazeeka, madeni,pombe kali 😭🤣🤣Sijui nitumie Mbinu gani aisee,wengi wameninyaka🤦
Nzuri sana. Nchi yetu imebarikiwa 'location' nyingi na nzuri🥰🥰Hizi ndiyo nzuri... wildflowers😘
Shart fupi lakini, lina uzito wake hapa mjini hasa kwenye masuala ya financial services, sikushauri kabisa uhailishe huo mpango. Please come 😋😋.Nimeghairi baki na shati lako fupi hilo😀😀 na choppa ikija naitupia mawe😀
Hapo naona financial services inaelekea kwenye masihara 😀😀Shart fupi lakini, lina uzito wake hapa mjini hasa kwenye masuala ya financial services, sikushauri kabisa uhailishe huo mpango. Please come 😋😋.
Naipenda hii rangi😍
Ndio mnayaita "Roses" 😍
Mimi ukinikosa kwenye iphin hunipati kwingineImebidi niibie ronja😂 asinge ropoka nilihisi ni yeye 😔 nazeeka, madeni,pombe kali 😭
Niko njema sijui wewe mamaYeap! Uko poa?