Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna vipindi vya gardening huwa havinipiti hapa nilipo🤣🤣At least wewe unajua hata names zake....mi sijui hata moja aisee
Hili mbona kama ni tunda zaidi kuliko uaInaburudisha nafsi kwa kweli...
Ila hili sijalielewa kwa kweli
Hapo vipi my?Nitafurahi sana, nasubiri cute 😊
Wow!!!! 😘💓Hapo vipi my?View attachment 3170624
Hili sio plastic kweli?Inaburudisha nafsi kwa kweli...
Ila hili sijalielewa kwa kweli
Ngoja ntalitafuta ila linaonekana lipo kwenye tropical🤣🤣Ni ua mtutumko
Aaah nilkua nasinzia nmeghairi
Ya la wachaga hili.
Paper flowers