wapenda mziki piano vs guitar

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,273
Its never too late kujifunza kupiga chombo cha mziki, nimeona watu wana play instruments zile emotions zinavoflow, nahisi ni njia moja wapo ya kujitoa stress na kurelax, au ile unamuimbia hata mama yako mzazi happy birthday na kumpigia ka-guitar kidogo kunogesha ka mziki..

Kwa wanaoweza hizi instruments, swali langu mnisaidie, ninunue kipi kati ya piano au guitar (acoustic/electric) na ipi ni nyepesi kujifunza kati ya hizo mbili??.. Pros na Cons, kuhusu muda sina hofu hata kama it take years haina shida, i got all the time in the world, na how long unadhani itanichukua kufikia level flani angalau kupiga kanyimbo kokote sio lazima iwe professional level.. what am good at ni kukariri, nikiona au kusikia kitu au hata namba ndefu mara moja mbili basi imekaa kichwani so i know am a fast learner... Nianze na ipi kati ya hizo instuments mbili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…