Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Wanasema Afrika Kongo ni nyumba ya mziki mzuri, nahisi hii imethibitishwa.
Tupe jina la msanii na nyimbo alizoimba tuburudike, mimi nitaanza:
1. Franco Luambo - orodha ya nyimbo zote
2. Papaa Wemba - Yolele
3. Oliver - Bane
Karibuni wakuu.
Mziki wa Kongo ni mziki wa watu wazima, watu akili imetulia.