Wanasema afrika congo ni house of good music nahisi hii iko verified.
3: oliver - bane
Karibuni wakuu.
Kongo music ni music wa watu wazima watu akili imetulia
Mkuu umenigusa kabisa hii playlist yangu kabisa sema ongezea Ferre gola _ 100kg rmx Ferre gola _ kamasutra Fally ipupa _ nidja Fally ipupa _ maria Fally ipupa _ associeJ B MPIANA - Feux de l'amour
Ferre Gola - Vita Imana
Karmapa - Mobali ya bololo
Madilu system - Frere Edouard
Pépé Kallé - Shikamo seye
Naona fally ipupa weekend kavunja historia ya werrason kujaza uwanjaMkuu umenigusa kabisa hii playlist yangu kabisa sema ongezea Ferre gola _ 100kg rmx Ferre gola _ kamasutra Fally ipupa _ nidja Fally ipupa _ maria Fally ipupa _ associe
T-shala Muana..mwana mama nguli kabisa na vibao vyake kama: Karibu yangu, Kokola, Dezo Dezo....hizi nyimbo tatu nazikubali sana.Wanasema Afrika Kongo ni nyumba ya mziki mzuri, nahisi hii imethibitishwa.
Tupe jina la msanii na nyimbo alizoimba tuburudike, mimi nitaanza:
1. Franco Luambo - orodha ya nyimbo zote
2. Papaa Wemba - Yolele
3. Oliver - Bane
Karibuni wakuu.
Mziki wa Kongo ni mziki wa watu wazima, watu akili imetulia.
Oliver ngoma ,ngoma zoteWanasema Afrika Kongo ni nyumba ya mziki mzuri, nahisi hii imethibitishwa.
Tupe jina la msanii na nyimbo alizoimba tuburudike, mimi nitaanza:
1. Franco Luambo - orodha ya nyimbo zote
2. Papaa Wemba - Yolele
3. Oliver - Bane
Karibuni wakuu.
Mziki wa Kongo ni mziki wa watu wazima, watu akili imetulia.
lakini werason hakugawa tiketi za bure kwenye show yake!!zingatia hilo piaNaona fally ipupa weekend kavunja historia ya werrason kujaza uwanja