Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Kuanzia harusi, kitchen party, maulid, birthday, kipa imara na kadhalika kwa pamoja tuje hapa tualikane siunajua undugu ni kujuzana na kupeana mialiko.
Binafsi napenda sana sherehe yaani kwa wiki nikikosa hata mbili basi roho yangu hairidhiki kabisa.
Utamu wa shughuli kwanza hakunaga limit unakunywa tungi unavyojisikia wewe tena free hutoi hata senti tano sasa balaa linafika wakati wa maakuli pale unagonga vyuku vyako vya kutosha na nyama choma zako pembeni huku ukishushia zako na safari ya baridiiii.
Faida ya sherehe unakutana na totozi za kila aina unaweza na wewe ukajiokotea zako toto pale kimasihara masihara.
Haya ndugu zangu mimi binafsi nawakaribisha weekend hii pale mbezi makonde kuna bonge la sherehe mimi sio mbinafsi nyie wote humu ndugu zangu karibuni tufurahi kwa pamoja.
Usisahau pia nawewe kutukaribisha mapema shughuli zilizo kwenye ratiba zako ili tuandae suti zetu mapema