Vitakuja vizazi na vizazi but daima wapenda soka hatutokusahau coz umetutenga mbali na burudani yetu pendwa ya soka, Burudani ambayo hutupa furaha tele hata pale tuwapo na misongo ya mawazo, burudani ambayo hutupa mizuka ya furaha na kutupa uchizi kidogo.
Umeharibu michongo yetu ya bet, umeharibu michongo ya mabanda umiza, dah! umetufanya tuishi vile hatujazoea.
Tunajua corona we nikatili sana but tuonee huruma, kile umeifanyia dunia mpaka sasa kinadhirisha hilo, inatosha na sasa tunakuomba uyarejee makazi yako..
Wapenda soka wote tuseme R.I.P corona.