Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Kwa ufupi,
Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?
Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?[emoji4][emoji4]
Nini maoni yako?