Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Ukweli mchungu a.k.a mwiba!Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
Tukiishi hivi unavyotaka tutafika hiyo miaka 70 tukiwa pekee yetu tu maana miaka yote umeishi kuwacha wacha watu na we waachwa 🥴Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
Hamna love creativity, mizinga kila siku inaboa sanaaKwa ufupi:
nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda ?
....ulimpenda sana kijana flani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa nae karibu, ndivyo unavyo-mchoka,
mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye!
mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako?
una wazimu?!
nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo?
ulishawahi kuacha /kuachwa bila sababu?
nini maoni yako:
Wapendanao hawachokani sababu mapenzi yao ya liunganishwa na UPENDO, mutual feelings, unconditional love. Siku hizi vice versa tunatamaniana na kuangalia una nini upendo hamna.Kwa ufupi:
nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda ?
....ulimpenda sana kijana flani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa nae karibu, ndivyo unavyo-mchoka,
mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye!
mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako?
una wazimu?!
nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo?
ulishawahi kuacha /kuachwa bila sababu?
nini maoni yako:
Ah wee tako muhimu jamani ...yaani mke apite mbele yako na khanga moko tahari unadindishaWanasema oa mnayeendana mazungumzo. Hautachoka kama ukiangalia tako.
Ah wee tako muhimu jamani ...yaani mke apite mbele yako na khanga moko tahari unadindisha
Haya mambo we acha tuWapendanao hawachokani sababu mapenzi yao ya liunganishwa na UPENDO, mutual feelings, unconditional love. Siku hizi vice versa tunatamaniana na kuangalia una nini upendo hamna.
Mfano kama wanyama tu, ng'ombe hajui Kama ameshampitia yupi the same kwa jogoo,sema mie nakubali jamii yangu unaoa hata wanawake Mia Ni uwezo wakoUkweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.