East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Kuna maaskofu wanadai walipeleka majina ya wajumbe wa katiba kwa raisi ili wateuliwe.Swali ni je kikao cha kuteua majina hayo kilifanyika wapi na lini? Waliokaa kupendekeza majina hayo ni akina nani? Je idadi ya wajumbe wanaotakiwa kwenye kikao cha uteuzi ilitimia kama taratibu za vikao zinavyotaka katika katiba?
Minuti za kikao hicho cha uteuzi zipo? kama ziko ziwekwe wazi na zianikwe hapa Jamii forum sababu minute za kikao kama hicho sio siri.
Tunaomba baraza la walokole wapentecoste waweke minute ya hicho kikao kilichofanya huo uteuzi kikitaja waliohudhuria,walioshindwa kuhudhuria na vigezo walivyotumia kufanya huo uteuzi,na walvyopata hayo majina wanayoyadai walipeleka kwa kwa raisi .Minute za kikao ziwekwe hapa wasiishie kusema walipeleka waweke minutes hapa.Wasije kuwa walipeleka ambacho hawakuambiwa na yeyote kupeleka.Kama walipeleka majina ambayo hawakuambiwa katika kikao cha wapentecoste wapeleke ni sawa na kutopeleka chochote kwa hiyo serikali ikisema haikupokea iko sawa sababu huwezi kupokea kitu ambacho hakiko kwenye sheria (null and void) kwa maana ya kuwa hakikupendekezwa kwa taratibu za katiba ya wapendekoste na taratibu za mapendekezo zinavyotaka.Serikali isingepokea majina hewa toka kwenye draw ya askofu yeyote au kikundi cha maaskofu binafsi ambao hawajashirikisha wajumbe wenzao wanachama wote wa hilo baraza.Minute ziletwe humu tuone.