wapendwa mnisaidie hill.....

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
wapendwa salaam,
nataka nifungue ka boutique ka dogo hapo dar niuze vipodozi kutoka uk,swali langu ni hili kuna kodi yeyote mzigo ukishafika bandarini???nitumie njia gani ?zaidi ya kusubiri contena lijae???kipimo ni contena peke yake???nikituma maboksi km DHL is it cheaper????

asanteni
 
mnh hakuna anayejua? au wachoyo na mafanikio yenu?:frusty::frusty:
 
Muoenakano tu ni kwamba Mafanikio yako sidhani kama ni ya kudum kwenye maisha.Inaonekana ni mtu wa kukurupuka kwenye maamuzi.In Psychology writing survey

We umeandika Post muda wa leo then unaanza kuhukumu watu kuwa hakuna anaejua,mara wachoyo wa mafanikio.Na kuweka Icon ya Hasira,Yametoka wapi yote hayo.

Au kwa kauli yako unafikiria watu wanalala humu humu kwenye Jf,watu wanashughuli zao na kuna watu wanaingia humu kila wiki mara moja tu and they are experts on what you have mentioned.

Jaribu kuwa mstaarabu kuna watu watakuwa wanajua ila kwa kauli zako utashindwa kupata ushauri mzuri.
Wamo watu humu wame post na thread imejibiwa mpaka mwezi mmoja ndio mtu anapata jibu.

We unataka ujibiwe haraka wewe umeshindwaje kwenda TRA na mamlaka ya bandari kuwauliza wakati upo mjini.

Unapouliza kitu ili kujua inabidi uwe mstaarabu and patient
 

haya wewe ndio psychiatrist wa humu,inabidi tunyenyekee kwa kupiga magoti kny screen zetu ili tushauriwe,,,,hujui nipo wapi,nafanya nini tayari ushaconlude mafanikio yangu si ya kudumu...mkuu km huna cha kupost si usichangie tu kuliko kujifanya kina sheikh yahaya.....maneno meengi kuattak my personality bila msaada wowote relevant na topic yangu....next time ukijibu topic ya mtujaribu kuwa relevant and stick to the issues at hand....
 

Jifunze uvumilivu,tambua kosa ukikosea na kubali kulekebishwa ndugu umekosea usiendelee kukosea zaidi.Na kwa hayo majibu yako sidhan kama utapata msaada humu ndani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jifunze uvumilivu,tambua kosa ukikosea na kubali kulekebishwa ndugu umekosea usiendelee kukosea zaidi.Na kwa hayo majibu yako sidhan kama utapata msaada humu ndani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mkuu sasa kosa langu ni lipi?kupost topic hapa???au kuirudisha topic yangu juu baada ya kuona hamna replies,,?
 
Jamani munaojua hii mambo achenii wivu wa kike njooni huku mutoe msaada!
Dah watu wana wivu bhana...
Njooni
 
kwahali hii sidhani kama unaiweza hata hyo bznes coz huna uvumilivu kabisa
 
Tangu thread imeanza naona Madongo tu yanamwagwa! Kwa style hii kuna msaada kweli hapa? Nadhani hata Kama yupo alietaka kusaidia keshaghairi baada ya kuona majibu yaliyopo hapa! Tujifunze kuwa wavumilivu kidogo especially tunapoomba msaada! Mi kuna post nilishaweka hapa Kama Mbili hivi nil ikuwa naomba msaada na mpaka leo hazijajibiwa hata moja! Na sikuhamaki. Haimaanishi watu wachoyo! Yawezekana anaejua juu ya Hilo jambo ha kuona hiyo thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…