Wapendwa najitokeza kwenu natafuta mke wa ndoa.

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
694
Mimi ni mvulana wa miaka 25 najitokeza kwenu wakuu natafuta mke wakuoa.
Mimi nimejiari ni mjasiriamal mdogo
naishi morogoro.
Dini yangu ni mkristo mkatoliki.
Mke nimhitajie awe anetokea kati-pwani,tanga,kilimanjaro, arusha na manyara.
Awe mkristo kama mimi.
Asiwe mwanafunzi wala asiwe matawi maana mimi ni wakawaida tu.
Sichagui kabila rangi wala umbo.
Umri wake uwe chini yangu.
Nitakua tayari kujieleza nikitakiwa.
Nipo seriours wakuu.
Ambae mungu atakaye mjalia kunipenda ani pm au ani sms 0756394667 nawasilisha wapendwa.
 
sogea sogea basi hadi singida....
vigezo vyote nnavyo.
 
ah kumbe wee wa matombo...kwa akina andunje
 
Endelea uwe unashinda humu utawagegeda tuu
 
sogea sogea basi hadi singida....
vigezo vyote nnavyo.

poa tu nimesema sichagui kabila nilikua najaribu kuchagua ukaribu na kilimanjaro kama uko tayar nam niko tayar singida sio mbali sana wala nini.
 
Endelea uwe unashinda humu utawagegeda tuu
ndugu sitafuti mambo hayo hata kidogo minatafuta mke wa maisha na sivinginevyo naomba nieleweke nahitaji mke.
 
poa tu nimesema sichagui kabila nilikua najaribu kuchagua ukaribu na kilimanjaro kama uko tayar nam niko tayar singida sio mbali sana wala nini.

upo kilimanjaro sehemu gani eti?
 

una- search mke kwenye internet ?? Uta-download virusi shauri yakoo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…