Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,346
- 1,221
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo,,wapendwa me naumwa kiuno kimenisumbua sahizi Kama miezi miwili sasa.
Umri miaka 29
CHANZO CHA TATIZO:
Siku moja usiku nilikuwepo nyumbani basi nipo zangu nimetulia ndani mala panya akapita juu ya kench nyumba ni slope ,,nikawa nimechukuwa ufagio mfupi ili nimpige adondoke chini ile nampiga kwa kuruka juu ili nimfikie mara nikarudi chini kwa maumivu makali ya kiuno yaliyo sababisha nichuchumae huku naugulia maumivu.
Kumbe pale nilipo ruka nilijitikisa mwili vibaya nikiwa kwenye hali ya kuruka hapo ndo changamoto ilianzia
KESHO YAKE:
Nikawa nimeenda sehemu lakini maumivu yalikuwa makali nikawaambia wenzangu naumwa hakika,,maana nilikuwa natamani niwe nimekaa tu lakini kila nikisimama nachoka kwa maumivu,,
UZALENDO UKANISHINDA:
Nikampigia Doctor mmoja namfahamu ana Duka la Madawa nikamuelezea akaniambi hiyo ni misuli imeshituka ,,so baadae usiku akaniletea dawa (Vidonge)nililipa kati ya 2500/=,nilitumia hiyo dawa kwa siku kama saba baadae hiyo hali ilipotea.
MAENDELEO KWA SASA:
Kuna wakati maumivu yanatokea nayasikia japo si makali saana pia nimeongea na Doctor amesema ntaenda nikachukue dawa,,
Msaada wapendwa:
Mazoezi yanaweza kuondoa TATIZO hili?!
Ama nikapime hospital kubwa?!
Ama nitumie dawa hali itaondoka?!
Msaada kwa wajuzi
MUNGU awabariki.