Mr Multpurpose Member Joined May 14, 2023 Posts 24 Reaction score 14 Dec 28, 2023 #1 Guyz habari mm ni mfanyabiashara naomba kujua sehemu ambayo watu wananunua dagaa wachafu kwa ajili ya vyakula vya migugo kwa sasa tuna tani kama 35 za dagaa wachafu lakni pia uduvi ila kwa sasa upatikanaji wake ni mdg sana.
Guyz habari mm ni mfanyabiashara naomba kujua sehemu ambayo watu wananunua dagaa wachafu kwa ajili ya vyakula vya migugo kwa sasa tuna tani kama 35 za dagaa wachafu lakni pia uduvi ila kwa sasa upatikanaji wake ni mdg sana.
DADDy SERVICES New Member Joined Feb 25, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Mar 25, 2024 #2 Ndugu Nitafute kwa nambari hii 0717326995 kwa uaminifu zaidi hata kama u wataka tani 50 utapata, lakini pia tunazo na dagaa safi mwanza
Ndugu Nitafute kwa nambari hii 0717326995 kwa uaminifu zaidi hata kama u wataka tani 50 utapata, lakini pia tunazo na dagaa safi mwanza