Mamshungulii
Senior Member
- May 3, 2023
- 175
- 88
Nawatakia kheri-wote-wanaoipenda Tanzania na demokrasia duniani kote.Tangu kupatikana kwa uhuru, muungano hadi leo hii, tumepitia mapito mengi wote walioandikwa na ambao hawajaandikwa mbarikiwe.
Tanzania imejawa na utajiri mwingi. Heko! watanzania ndani na nje ambao wanaipambania nchi hii kwa kufanya kazi kwa bidii,kizalendo, kiueledi, kiuaminifu ambao hata majina yao hayapo kwenye historia iliyoandikwa na wameijenga na kuipeleka mbele nchi katika kila kipindi.
Tanzania Kupitia lugha-ya-kiswahili imejipigania kwa miaka mingi na Mwenyezimungu azidi kutubariki tuzidi kukikuza na kukiendeleza katika kila nyanja-ya-maendeleo.
Kipindi-cha-mvua tulisikia mafuriko sehemu mbalimbali za nchi, habari mbaya zilisikika sana,ugumu-wa-maisha kwa watu uliongezeka sehemu nyingi kwa kipindi hicho nawahakikishia sio kwamba Serikali ilifumbia-macho Asasi-zisizo za-kiserikali na taasisi za dini pia zimekuwa mbele na watu hao.
Kuna haja kubwa ya kuzidisha kulipa heshima Soka-la-Tanzania vijana na wananchi wa Tanzania na wachezaji wa michezo-ya-Tanzania hakika “utani huu wa jadi”hauna mfano ;hakika unaiheshimisha Tanzania na sio kwamba Soka la Tanzania linakonga mioyo ya wengi pia kizazi kijacho kitajivunia mafanikio haya makubwa ya kijadi ambayo hayaishii tu uwanjani.
Natafakari ifikapo miaka-100-ya-muungano-wetu, katika safari-ya-maendeleo ipo haja katika safari-yetu-sisi kama nchi kujifafanua-upya na kusonga-mbele na MAAZIMIO-MAPYA. Leo wakati umefika katika safari ya maendeleo ya Tanzania, tunapaswa kujua tukifikisha miaka-100-ya-muungano tutakuwa tumekamilisha mambo mengi kuanzia leo hii,na miaka ijayo kufikia miaka 100 ya Tanzania.
Lengo-la-Tanzania ni kuongezeka/kustawi kwa Tanzania na raia wake,katika kuiunda na kuiimarisha Tanzania ambayo kila huduma-bora inafanana mjini na vijijini.Lengo ni kuijenga Tanzania ambayo serikali haiingilii Maisha-ya-raia na kila-raia anajivunia kuwa Mtanzania, ambapo kuna kila-miundombinu-muhimu na inayoenda na wakati duniani.
Hatupaswi kuwa chini-ya-mtu-yeyote, hii ndio dhamira ya mamia-ya-wananchi, lakini azimio linabaki kuwa duni pasipo kuambatana na uzalendo,bidii,uadilifu na ujasiri uliokithiri.Kwahiyo tunapaswa kutambua maazimio-yetu kwa bidii na ujasiri,ndoto na maazimio haya pia ni kwa mchango-mzuri kwa ulimwengu-salama na ustawi ndani/nje ya mipaka-yetu.
Hatuhitaji kusubiri kwa muda-mrefu kufikia malengo-yetu .Inabidii tuanze sasa hatuna muda wa kupoteza huu wakati ndio wakati sahihi .Nchi yetu pia inabidi ibadilike na sisi raia tunapaswa kubadilika sisi wenyewe pia inabidi tujibadilishe na zama-zinazobadilika.
Mamia-ya-watu wananufaika na miradi mingi iliyotekelezwa katika miaka iliyopita ,leo hii kasi ya mipango ya serikali imeongezeka na malengo-mengi yaliyotarajiwa yanafikiwa.Tumeendelea kwa kasi zaidi kuliko hapo awali lakini huu sio-mwisho,Tunapaswa kufikia kueneza ,vijiji-vyote vinapaswa kuwa na barabara,kaya zote ziwe na akaunti-za-benki ,watu wenye uhitaji wanapaswa kuwa na kadi-za-wahitaji,masikini wote wanapaswa kunufaika na mifuko ya kujikwamua kiuchumi,na wananchi wote wanapaswa kuwezeshwa kutumia gesi.
Kila mtu anapaswa anufaike kwa haki-ya-bima-ya-afya,pensheni na nyumba-za-kuishi zenye huduma-zote-za-msingi.
Inabidi tusonge-mbele tukiwa na fikra-ya-mafanikio ya 100%, machinga,wajasiriamali-wa-mtaani wote wanapaswa kuunganishwa na mfumo-wa-kibenki usio na makato.
Kama ambavyo tumejitahidi kujenga madarasa katika kila wilaya, na kupitia kampeni ya thamani-ya-nyumba-ni choo kwenye sehemu-za-kijamii na vijiji,ipo haja kuhakikisha sehemu-zote za-kijamii zinakuwa na vyoo-bora ,vya-kisasa na wanafunzi wanapatiwa huduma-stahiki kwa elimu-endelevu wakiwa mashuleni.Tunapaswa kufanya maazimio yetu kuwa kweli kwa matendo ndani ya miaka michache.
Nguvu ya wanawake ndio msingi wa uchumi. Ushirikishwaji wakifedha umehakikisha ushiriki bora wa wanawake katika maamuzi-ya-kifedha katika familia. ipo haja kuliendeleza hili kwa maendeleo-endelevu kupitia vikundi vyao.
Lengo ni kufikia 100% katika miradi tofauti ya maendeleo , tutalazimika kuzingatia teknolojia mpya, ili miradi ikamilike kwa kasi na ubora pia usiathiriwe.
Intanet kufika mpaka vijijini sio tu itatoa hamasa katika vijiji lakini pia itaunda kundi kubwa la vijana wenye ujuzi katika vijiji.
Bajeti zinapaswa kutoa ramani za wazi katika kufikia malengo ya kueneza faida za miradi ya maendele-ya-serikali na jinsi huduma-za-msingi zinavyoweza kufikia asilimia kubwa ya watu.
Uwekaji mipaka sahihi wa ardhi ni muhimu sana kwa maendeleo na huepusha uwepo wa migogoro na inasaidia sana. Mfumo wa kitaifa wa usajili wa rekodi za ardhi na PIN ya kipekee ya kitambulisho cha ardhi utaleta faida kubwa. Haja ya saa ni kuunganisha suluhisho zinazohusiana na uwekaji kidigitali na uwekaji mipaka ya rekodi za ardhi na teknolojia ya kisasa.
Ninaamini kuwa maendeleo ya vijiji yatapata kasi kubwa ikiwa serikali zote za majimbo zitafanya kazi ndani ya muda uliowekwa. Haya ni mageuzi yatakayoongeza kasi ya miradi ya miundombinu vijijini na pia yatahimiza shughuli za biashara vijijini na mijini.
Katiba yetu ina vifungu vinavyozungumzia haki-za-msingi na kanuni-za-maagizo zinawakilisha maafikiano ya kitaifa kuhusu aina ya jamii ambayo sisi kama raia tungependa kuunda.
Kifupi ,yanabainisha jamii inayozingatia kanuni za usekula,Ujamaa nade mokrasia,kutafuta haki-ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ,kutoa uhuru-wa-mawazo,kujieleza,kuamini,Imani na kuabudu.Usawa-wa-hadhi na fursa,na msingi wake ni udugu unaohakikisha utu-wa-mtu-binafsi na umoja-wa-taifa.Mawazo haya ya hali ya juu yanaweza kutekelezwa tu kupitia usawa-wa-hadhi na fursa ambayo ,kwa upande wake ,inategemea taasisi-za-raia walioelimika.
Tungefanya vyema kukumbuka maneno ya Nelson Mandela kwamba,”elimu ni silaha yenye nguvu Zaidi ambayo unaweza kutumia kubadilisha ulimwengu “.Nguvu-ya-elimu inaenea zaidi ya ukuzaji wa ujuzi tunaohitaji kwa mafanikio ya kiuchumi.
Inachangia katika ujenzi-wa-Taifa na ukuaji wa jamii yenye usawa .Elimu ina maana zaidi ya kupata maarifa. Inawapa watu uwezo wa kujiendeeza binafsi na kuwa hai kisiasa .Ni sharti la msingi la maendeleo ya kisiasa, kidemokrasia na haki-ya-kijamii.
Katika Malengo-ya-maendeleo-endelevu, leng-la-16, lina uhusiano wa moja-kwa-moja na utawala-bora kwa kuwa limejitolea kuboresha utawala, ushirikishwaji, ushiriki, haki na usalama.
Nukuu kutoka kwa Koffi-Annan aliyekuwa katibu-mkuu wa Umoja-wa-mataifa alisema.’’Utawala-bora ni kuhakikisha kuheshimiwa kwa haki-za-binadamu na utawala-wa-sheria; kuimarisha demokrasia;kukuza uwazi na uwezo katika utawala-wa-umma’’.Pia alisema kuwa “Utawala-bora ndio jambo muhimu zaidi katika kutokomeza umasikini na kukuza maendeleo.”
Tanzania imeanzisha kampeni-ya-utunzaji wa maji ,hivyo-basi ni wajibu wetu kufanya utunzaji-wa-maji kama tabia.Nchi inasisitiza ufanyaji-wa-malipo-kimtandao na huduma-mtandaoni basi ni wajibu-wetu kutekeleza hilo, nchi yetu inaendelea kusisitiza tununue vilivyotengenezwa nchini-kwetu hivyo basi ni wajibu wetu pia kuhamasishana na kufanya kununua bidhaa za nchini kwetu kadiri ya uwezo-wetu.
Pia ,kuimarisha wajibu-wetu wa kuondoa plastiki kabisa ,ni wajibu kuhamasisha matumizi zaidi ya maramoja ya plastiki.Ni wajibu-wetu kutokutupa taka kwenye vyanzo-vya-maji,na kufanya-usafi pembezoni-mwa-vyanzo-vya maji.Tunatakiwa tuhamasishane baina-yetu mpaka kutimiza hili.
Mahusiano-ya-dunia yamebadilika punde tu baada ya vita-vya-pili-vya-dunia, na wakati wa UVIKO dunia ilijifunza kitu kutoka kwetu,tangu hapo dunia iliiangalia Tanzania kitofauti.Tanzania inaweza kubadilika, inaweza kuchukua maamuzi-magumu ,na haijasita-kukoma kuchukua maamuzi-magumu.
Kwasasa idadi ya vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua imepungua na idadi-ya-watoto wanaoandikishwa shule ya awali inaongezeka, pia serikali inazidi kuimarisha majukwaa-ya-kimtandao kuimarisha uwazi wa kisekta ndani na nje ya nchi.
Uchumi wa kijani ni kesho ya dunia, Watanzania tuliazimia kuondoa mifuko-ya-plastiki na kwa pamoja tuliliweza ndani ya muda-mfupi, kwasasa tunaweza wote kuazimia kuhamia kwenye gesi na wote tukafanikisha, Juhudi zetu zinapaswa kutoa matokeo leo katika kupambana na mabadiliko-ya-hali-ya-hewa,kuongeza-misitu, idadi ya mbuga za taifa ,kuwatunza-wanyama tulionao ama hakika utalii ni jambo la furaha kwa wananchi.

Upvote
1