Wapendwa nimewapenda bure

karibu sana mkuu, ila kuna watu wako mlangoni hapo pita taratibu usiwakanyage ......
 
Wapendwa,wakuu wa Jf nmewapenda bure naomba mnikaribishe nijifunze na kuhabarika pamoja nanyi kuhusiana na Mambo yanayotusibu chini ya jua
Usipende bure wengine Al Qaeda na ISIS humu, watakulipua.

Karibu.
 
Karibu sana, ila humu kuna kilanja wa Lugha akifika utamjua tu usikasirike maana vichaa ni wengi pia, wenye majibu yetu ya mkato pia tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…