wapeni walimu wapya posho zao mbona hivyo!!!

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
kuna jambo ambalo linanishangaza kwa waalimu wapya walioajiriwa hususani halmashauri ya moshi mjini ambapo walimu wanazungushwa na fedha yao ya kujikimu,wanapewa wachache wanaambiwa wasiwaambie wengine,ninachojiuliza kw nini wapewe wengine na wengine wanyimwe na wanaopewe wanavigezo vip?walimu hawa wanateseka kiasi kwmb wengine imewabidi kurudi nyumbani kujipanga upya na kupata chochote toka kwa wazazi wao.jambo hili si la busara hata kidogo.mbona wafanyakaz wa kada nyingine walioajiliwa hatuyasikii haya?walimu ndo vibonde sio.namalizia kwa kusema kila mtesi atateseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…