Wapenzi, mashabiki na marafiki wa klabu ya USM Alger tukutane hapa tujiandae kuupokea ubingwa wa kombe la Shirikisho 2022/2023

Tena wawe na adabu,, ukumbi huu wa jamii una watu mchanganyiko,
 
Hii siyo ile yanga ya mkwasa akiwa katibu mkuu wa yanga. Hii ni yanga ya Eng. Heris mkuu. Yupo na makamu wake ARAFAT.
Michezo yote ya kihuni wale jamaa wanaijua nyie endeleeni kumsubir manzok aje ahudhurie mikutano
 
Ukishakuwa shoga kila mwanaume utataka awe wako kila team utahamia kwasabab tu unaichukia Yanga... Na mtapoteza sana marinda kwa kuichukia YANGA...
YANGA 💛💚 BINGWA
Kweli malipo hapahapa duniani, hizi tabia miaka miwili nyuma walikuwa nazo yanga kuhama hama na kufata wapinzani wa simba airport, leo hii simba ndio mamburula
 
Fainali ngumu ingekuwa dhidi ya Asec.
Nani kakuambia uandamane, cheki sasa umekuja kuandamana pekee yako tu. Nani kakuambia asec mimosa ni wepesi kuliko usm alger ? Si ndio ww ulikuwa ukisema wanao fuzu makundi ni minastr na mazembe nini kilitokea? Kisha ukasema rivers united ni wakal. Badae ukaanza na kumshabikia msauzi? Naam bila shaka sasa imehamishia nguvu zote kwa mwarabu..... Mwaka huu utashabikia hadi mamelod swqndawin. Hamahama fc
 
Wote mliyepo huku mashogaaa
 
MaShoga camp
Upinde crue
Wasafishwa mtaro group
Wabomolewaji bakta
Washikishwa ukuta
Wakina ally wanzuri
Makaka poa
Watoa nyuma family
Gay
Kama nimesahau ongezea jina lao
 
Bado tu ...Nasemajeeeeeeee ..mtachagua timu mpaka fainali ..tukiwa mabingwa napo mtachagua timu ya kutukabidhi kombe
 
Kuna uwezekano roho mbaya za watanzania walio wengi ziliasisiwa na hizi timu za Simba na Yanga mfano leo hii tabia ya kuombeana mabaya kwa timu hizi inaenda mpaka kwenye maisha ya kawaida unakuta mtu ataku mwenzie atoboe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…