Wapenzi na wanachama wa Yanga shime, tukatoe maji uwanja wa "Kaunda" muda huu

Hapo sato na kambale hawakosi,yule mdosi Manji Si alisema ataujenga huo uwanja?,au zuga time?..
hah hah kweli Yanga wana nyota ya samaki si umesikia wanaenda kujenga uwanja baharini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…