Wapenzi....niliwakosa sana

Wapenzi....niliwakosa sana

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Duh....wapwaz and binamuz niliwakosa mbaya kabisa....lakini natumaini wote mpo vizuri......:hug::hug::hug:
 
Karibu mama kama kawa tunaendelea na uchambuzi. Malaria Sugu naye katoka kwenye ban tunaye tena jamvini na threads zake zilezile!
 
Wellcome back tulikimiss sana na asante kwa kutekeleza ahadi yako baada ya mfungo.
 
Sijui kwanini mimi sikukumisi kiviiiile!
 
Duh....wapwaz and binamuz niliwakosa mbaya kabisa....lakini natumaini wote mpo vizuri......:hug::hug::hug:
Una kesi ya kujibu na mimi personally!....Mashahidi ni Bwana Acid na MwanajamiiOne!
BTW, Karibu sana!..Habari za Yaeda ya juu?
 
hehehe!
mimi hasa hasa niliiokosa avata hiyo!
naomba unitumie kwenye e-mail yangu nakuhakikishia sitakukosa:becky::becky::becky:
 
Karibu mama kama kawa tunaendelea na uchambuzi. Malaria Sugu naye katoka kwenye ban tunaye tena jamvini na threads zake zilezile!

asante sana kwa taarifa...naamini kajirekebisha kwa mujibu wa sheria
 
Una kesi ya kujibu na mimi personally!....Mashahidi ni Bwana Acid na MwanajamiiOne!
BTW, Karibu sana!..Habari za Yaeda ya juu?

teh teh....wewe nakumudu...Yaeda wanawasalimu sana si unajua serikali ilikuwa inatuhamisha ndo nilienda kuhama
 
hehehe!
mimi hasa hasa niliiokosa avata hiyo!
naomba unitumie kwenye e-mail yangu nakuhakikishia sitakukosa:becky::becky::becky:

hivi kumbe unaipenda eeh...nitaileta nyumbani moja kwa moja si bado unaishi pale pale?
 
Welcome back. Lkn si uende ukavae kwanza kabla ya kuingia ukumbini!? maana hapo ukinyanyuka ghafla itakuwa kizaazaa. itabidi wapwaz na binamuz wafumbe macho au waangalie upande, he he he!
 
wameshazoea hawana neno
 
Karibu mamaa......ze avatar and ze colour! Umesoma rules za infidelity?
 
Back
Top Bottom