INAUZWA Wapenzi wa bidhaa za asili

INAUZWA Wapenzi wa bidhaa za asili

BISECKO

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
640
Reaction score
712
Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi.

JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI?

Kwanza vyaweza kutumika kama mapambo ya ndani yaani interior decor ama matumizi halisi, mfano kikombe kikikaa mezani kwa namna kilivyo tengenezwa ni pambo zuri la kuvutia, lakini chaweza tumika kwa matumizi halisi kama chombo cha kunywea.

IMG-20210510-WA0005.jpg


Pichani ni kikombe/ bamboo mug pamoja na chombo cha kuwekea sukari, chumvi, viungo vya jikoni n.k.

Pia bidhaa nyingine zinapatikana kama saving trays, key holders n.k

Bei ni shilingi elfu tano na ukichukua vingi wapata punguzo.

Kwa mawasiliano, Whatsap ama simu ya kawaida. 0675361679.
 
Safi Sana mkuu ongeza ongeza picha Nina zipenda tatizo me Sasa HV Sina hela Ila wapo watanunua lete picha more
 
Back
Top Bottom