Wapenzi wa boxing, nani anamkumbuka Razor Ruddock na ngumi yake ya the 'smash"

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Wapenzi wa ngumi kuna mtu bado anamkumbuka Razor Ruddock? Miaka ya mwisho ya 80 na mwanzo mwa miaka ya 90. Alipigana na Tyson mapambano 2 ingawa yote Mike alishinda.

Pambano la marudiano na Tyson, Razor alivunjika taya na Tyson akapasuka ngoma ya sikio.

Angalia hii summary the smash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…