Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,929 Reaction score 7,927 Aug 28, 2026 #1 Salaam, Wakuu tukutane kijiwe cha drafti hapa: Kama kawaida mimi nipo kijiweni. Game langu ni dakika tatu (3) zikizidi tano (5) tu sitaki anayesinzia. Ingia hapa create akaunti yako dakika moja chap kisha tuanze mtanange. PlayOK - Play Tanzanian Draughts Online Free, TZ draughts www.playok.com
Salaam, Wakuu tukutane kijiwe cha drafti hapa: Kama kawaida mimi nipo kijiweni. Game langu ni dakika tatu (3) zikizidi tano (5) tu sitaki anayesinzia. Ingia hapa create akaunti yako dakika moja chap kisha tuanze mtanange. PlayOK - Play Tanzanian Draughts Online Free, TZ draughts www.playok.com