Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hii kwa wadau wa motorsports & movies. Kuna hizi upcoming movies mbili zinakuja zinahusu F1 kwa 100% ziweke kwenye list yako.
Sena (2024)
Hii itakua chini ya Netflix, sio movie kabisa ni mini-series, na itatoka mwaka huu 2024. Hii ni Biography kutoka Brazil inayomuhusu moja ya madereva wakali wa Formula 1 waliowahi kutokea miaka ya 90 kutoka Brazil, aitwae Ayrton Senna da Silva (1960 - 1994).
Huyu jamaa alishinda F1 Driver World Champion mwaka 1988, 1990 na 91 na akafariki mwaka 1994.
Hadi sasa Sena ni mmoja kati ya Madereva watatu wa F1 kutokea Brazil kushinda taji la World Champion, na pia katika kipindi chake ameshinda Grand Prix 41 na amekaa Pole mara 65 record iliokuja vunjwa 2006.
Jamaa alifariki mwaka 1994 kwa ajali alipokua anaendesha na team ya Williams, na alikua pole position (wa kwanza) ikatokea ajali akafariki.
Ikumbukwe alivokua anarace iyo siku katika San Marino Grand Prix, iliofanyika Imola Italy kwenye Autodromo Enzo e Dino Ferrari circuit, jumamosi yake siku ya grid alifariki dereva mmoja na jumapili ndio akafariki Senna akiwa mbele ya Michael Schumacher. Ikapelekea Schumacher kushinda hii GP lakini hakuna alieshangilia ushindi kwasababu hadi race inaisha walishajua jamaa kafariki.
Hadi leo inaaminika kwamba kama Halo ingekua imevumbuliwa mapema kwenye F1 ingemprotect Senna from death. Halo imeletwa 2018.
Sasa Netflix wameona sio tabu, wanatuletea movie kuhusu career ya Senna kuanzia anaanza kuendesha hadi final race.
Kijana atakaeigiza kama Senna si mwingine ni Mbrazil Gabriel Leonne, kwa wadau wa movie za magari mtakumbuka katika movie ya Ferrari 2023.
F1 (2025)
Hii upcoming movie kidogo tutakua wavumilivu. Ndio kwanza teaser imetoka leo (July 7) na movie yenyewe itatoka 2025.
Hii ni ushirikiano wa Formula 1, Warner Bros na Apple Films.
Hii ni purely movie, sio maisha halisi ya mtu. Na itaigizwa maisha ya recently ya bwana mdogo mmoja aitwae Pierce anaeenda kuendesha F1 ila kwakua ni rookie ataletewa mentor Hayes wa kumsaidia na kumguide.
Huyu Mentor alikua driver wa F1 miaka ya 90 ila akapata ajali mbaya sana ikapelekea kuacha kuendesha.
(Kuna vibe flani la Top Gun Maverick)
Utamu wa hii movie ni waigizaji na madairekta waliohusika. Imagine kuna Brad Pitt ndio mentor, Lewis Hamilton, Kerry Condon (wadau wa Marvel huyu demu ndio sauti ya AI ya suit ya Iron Man aliemreplace JARVIS yeye anaitwa FRIDAY) na wengine kibao.
Humu kwenye hii movie kuna vibe la racing haujawahi kuona. Tuombe uzima.
Pia, Wanaija watazidi kuenjoy kwakua kijana wao Damson ndio atakua muiguzaji mkuu. Ingawa kazaliwa British ila wazazi wake wote ni waYoruba wa Nigeria.
Sisi tufurahi zaidi movie za motorsports na magari zinarudi. Sio kama Fast n Furious zilikua za racing sahivi watu wanapigana na terrorist na kuokoa dunia. Duh!