Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

trump alivyo pigwa na kiduku hii move sitoiangalia maana inatisha
 
Unajua kuna movie za kutisha na kusisimua
Mara nyingi sisi movie tunazoangalia ni zinazosisimua sio kutisha
1.walking dead
2.wrong turn
3.jigsaw na nyingine za aina hiyo niza kusisimua.
Muvi za kutisha ni kama:-
1.Predator ya mtu mzima Arnold Schwarzenegger
 
SAW.ukiiangalia peke yako unaweza ukakimbia sheikh.ukahisi jamaa anakufata na lile sauti lake hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…