Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
TYCOON BUSINESS 2022
Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa jumla nilazima uwe na taifa lenye nguvu kwa nyanja mbalimbali mfano teknolojia ya juu uchumi wa juu na majeshi yenye nguvu ni game zuri utainvest sehemu mbalimbali katika nchi mbalimbali utakua ukitumia rasilimali zako kama ulichugua tanzania basi utakua kuna madini unachimba mfano gold copper diamonds utakua unauza na kujenga uchumi wako ukifika uchumi wa kiasi fulani utaanza kujibrand na kuwekeza kwenye teknolojia ambapo utaanza kuzalisha bidhaa mbalimbali na kuuza utaanza kuzalisha siraha mbalimbali kwa ajiri ya jeshi lako
Kwani kwenya game vita ya kichumi ambayo mtu anaweza kukuhujumi kwa teknolojia mbalimbali either adukue bank account zako au akutumie majeshi na kuvamia nchi yako kufanya uhalifu na kukuhujumi kiuchumi hivo lazima uwe na jeshi imara ili kupambana nae tena uwe na siraha nzito na wanajeshi wenye mafunzo ya juu pia hacker wadukuzi wa hali ya juu la sivo utaishia kufirisiwa yaani huku full uonevu shobo kidogo tu unapigwa atomi bomp hivo ukiingia uku unatakiwa ujipange la sivo utalia ukiona huna nguvu utaomba kuungana na majeshi kadhaa ambayo ya watu walio katika nchi yako
Kwani kila nchi hua na makampuni mengi mfano wewe mtanzania utaomba ulinzi kwa watanzania wenzio wenye majeshi yenye nguvu la sivo utateseka mno maana vita ni vita mula uwe umeanzisha au hujaanzisha mtu anakupiga hivo hivo labla uwe una mifumo mizuri ya kuzuia makombora ukiona unazidiwa nguvu unajiunga kundi lenye nguvu likusaidie mfano kama uvoona marekani na washirika wake nato basi na huku hivo hivo unaunda washilika wako ili wakusaidie ni game zuri sana unawekeza kwenye usafirishaji uchimbaji madini makapuni ya kutngeneza bidhaa mbalimbali makapuni ya umeme makapuni ya siraha yaani full unyunyu
Kwa kifupi game zuri sana lina mengi yakuaelezea ila kwa haya machache yanatosha game hili ni online hatumij bundle nyingi sanaa kawaida tu karibu kama unapenda kumiliki jeshi basi njoo huku tuoneshane ubabe upigwe atomi bomp hutakaa uamini