Wapenzi wa game za Mpira mnachezaje?

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Habari za muda za Huu na pole na mihangaiko ya kutafuta maokoto

Baada na uchovu iliyotokana na mihangaiko Nimeona nishushe game la Pes 2016 nimeinstall kwenye PC yangu Ya Dell limekubali hata graphic zake ni nzuri hili ni PES 2016 version ya Ps 3

Nimeanza kuchezea keyboard inanisumbua Kidogo kwenye kaba haraka

Wale wataalamu wa kucheza pes 2016 bila pad watupe skills Hapa

Natumie E Kuongeza spidi
X Kukabia
D Kupiga cross
A Kufunga
W pasi

Wataalamu wa games za Mpira Kwa pc tupeni keyboard skills maana muda nimechapika 2-1

Mtupe Hayo mautalamu tuoiga mtu 5G [emoji16]

NB. anayehitaji hili game natoa Bure Kabisa na pia nahitaji sana mortal Kombat lenye Gb 8 only

Nawasilisha
 
Nunua pad zile nahisi zinafanyaga kazi i'm not sure kama ni bei sana
Hii button naona kama ngumu hivi
 
Q kubadili mchezaji wa kukaba
W kukimbia
E Through oass na kumtoa kipa akabe
A kupiga krosi na tackle sliqe
S Pasi na kufata wachezaji kuwakaba
D mashuti na kusukuma wachezaji

Long time sana nimecheza game za mpira kwa pc nikiwa chuoni

kama vp nunua padi tu urahisishe lakini ziwe og lasivyo zinakufa ndani ya mwezi tu
 
Key board kipo effective sana na high sensitivity, sema ndo ivyo kazi kumaster
 
Mi nataka games za magari, enzi za analog tulicheza sega mega drive
 
Mi nataka games za magari, enzi za analog tulicheza sega mega drive
Upo wapi nikuuzie Dirt rally 5, au project cars ,zote Zina option ya multiplayer game za magari izo ,high quality and graphic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…