Wapenzi wa gari aina ya Scania tukutane humu

Hiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.

Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1...
Thanks kiukweli hata mimi sasa nimeelewa
 
Karma hebu njoo[emoji23][emoji23]
Hakuna kitu napenda kama scania. Utoto wangu nimekulia kwenye haya madude porini. Yaan nayapendaaa.. sitaki ya kurithishwa nataka ya kunua mwenyewe. Napendaga kitu inavyocheuaaa. Ule mngurumo sasaa[emoji23][emoji23]
Na honestly naplan kwenda kusoma mechanics niyajue vzr. Si hata hapo VETA wanafundisha? Ila sasa sitaki kufanya paper[emoji23] Scania is bae bwanaaaa....
 
Uje ukae hapa kushoto mara moja moja nakuachia umwage upepo [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…