miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] nitashukuru Mkuu. Aisee napenda sana haya mambo. Nilitaka share video ya scania ule mngurumo nimeenda kuchukua picha sijui hata ya nani whatsup ushamba huu[emoji23][emoji23] nataka kuupload video nafanyaje. Huku sheria ukipost picha ya mtu wanakupiga ban? Niliona mahali.Uje ukae hapa kushoto mara moja moja nakuachia umwage upepo [emoji4][emoji4][emoji4]
Hata mimi sijui kushare mkuu![emoji23][emoji23][emoji23] nitashukuru Mkuu. Aisee napenda sana haya mambo. Nilitaka share video ya scania ule mngurumo nimeenda kuchukua picha sijui hata ya nani whatsup ushamba huu[emoji23][emoji23] nataka kuupload video nafanyaje. Huku sheria ukipost picha ya mtu wanakupiga ban? Niliona mahali.
Okey mkuu. Kuna picha nilishare accidentally. Unaiona? Yaan sikui hata ya nani asije kunishitaki buree[emoji23][emoji23] ngoja nikalimit whatsup picha za watu kuingia kwa gallery moja kwa moja aisee. Ushamba mzigo sanaHata mimi sijui kushare mkuu!
Hahahaha hapana mkuu sijaiona, labda urudie kushare..Okey mkuu. Kuna picha nilishare accidentally. Unaiona? Yaan sikui hata ya nani asije kunishitaki buree[emoji23][emoji23] ngoja nikalimit whatsup picha za watu kuingia kwa gallery moja kwa moja aisee. Ushamba mzigo sana
Ha ha ha ha afadhali. Maana balaaa.Hahahaha hapana mkuu sijaiona, labda urudie kushare..
Halafu ilikuaje ukakulia kwenye trucks na ukaishia kuzitamani tu?
Wengine tulikulia kwenye trucks ikapelekea tukawa na mahaba nazo!
Though tuna mambo mengi ya kufanya but we do trucking for passion
Hahahaha hahahaha daaaaah!Ha ha ha ha afadhali. Maana balaaa.
Kuwa mtoto wa kike ndo imekua changamoto mkuu na kusoma boarding.
Lakini hii kufuta vichaka tunatafutwa na maaskari enzi za 90z huko balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mzee waalaaa sikuenjoy saana nae kwa hayo madudeee ila mazaaa... safi sanaaa. Sisi si wa kulala barabarani sisi tukipata break down. Tunapata lift yoyote tu ya scania[emoji23]
Ngoja nikupe mkasa. Ila napenda story sana.
Maza alinunua mahindi. Sasa sijui ni ushuru ama nn hakikulipiwa sijui. Ikabidi maza aingie chimbo la home kwanza. Scania imeshiba mzigo wa mahindi. Maaskari wanazunguka na pikipiki zao enzi hizo ni DT na nn sijui zile wanasaka ila chuma hawaioni ila mngurumo kama kawa unasikika. Usiku ule ikalala home. Huko ni kijiji moshi.
Sasa alfajiri mama akadamka na piki piki anaemdeshwa. Rule ilikua ni atangulie halaf chuma lije kwa nyuma. Maafande walikua wana hasira sana na walioania mno[emoji23][emoji23] wakiona maafande wanarudi wanatoa ishara chuma linaminya chocho. Sasa kilichofanyika.. watoto wote tuliamshwa kwenda kufanya kazi moja tuu.. scania inapopita basi sisi tumekatiwa mataei ya miti saa 11 ile alfajiri tunafagia kufuta matairi mpaka main road. Yaan chuma ikitembea mnafagia[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] respect to mamma. Yaani mpaka chuma ikatoboa main na ss tukamaliza kazi yetu. Mbele huko hata hajafika mbali sana himo akapata mteja japo aliuza kwa uoga. Akafaulisha kwa mtejaa. Akapokea chake. Akarudi home akanunua kreti 2 za bia na 2 za soda tukacelebrate halaf yeye akaamsha zake dar mida hiyo2[emoji23][emoji23]
Sasa kwann nisiipende. Enzi hizo huo ukanda wa kaskazini kupata utajiri ni get rich ama die trying[emoji119][emoji119] umafia kibaaao.
Ha ha ha ha ilikua hatari na maexperience ya kufa mtu. Yaan kiume sana.Hahahaha hahahaha daaaaah!
Stori yako inafurahisha sana..
Kweli miaka ya 90 haikuwa rahisi kwa msichana kuingia kwenye hizo shughuli kulingana na nature yake kwa wakati huo.
Ilikuwa ni jambo la kawaida kukuta ndani ya 113 320 cabin mahakama wanaume zaidi ya wawili sembuse wanawake..
Kuna mtu wa kuweka kigingi gari ikisimama kwenye mpando/mteremko,
Kuna fundi incase gari italeta shida pamoja na dereva ambae naye anajua ufundi..
Kwa gari zenye nafasi aliongezeka mtu wa kupika, pamoja na kutafuta maji maeneo ya karibu incase gari imechemsha!!
Huyu mpishi pamoja na mtu wa kigingi waliandaliwa kuwa madereva wa baadae!!! Daaaaa.. hakika those were the days.
Hahahaha safi sana!!Ha ha ha ha ilikua hatari na maexperience ya kufa mtu. Yaan kiume sana.
Mimi nikichoka nilikua nalala kitamdani nyuma. Maza alikua ananinunulia kaptula kwa kwenda mbele. Kuna watu walijua mi dume. Kuna siku nikatimba gauni acha watu wapige kelele wanamvalisha mtoto wa kiume gauni tabia mbaya[emoji23][emoji23]
Ila tulikua tunapiga machaka kulaalekiii. Mombasaa. Yaan pori kwa pori mpaka kenya. Tulipeleka petrol aisee kwa kuyajaza kwenye mapipa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sijui hata ilikuaje. I guess walikua na shida ya mafuta. Mombasani hii hapaaa. Mpaka na uhamiaki wa kenya wakatupa escort bana.
Kuna visiki kama baba mkwe. Kama ulivyoelezea watu zana zote za kazi zipo. Shoka, sululu etc.
Yale matank ya ziada ya maji kama yote pembeni. Sasa hv nialike road trip tuu mkuu[emoji23][emoji23] niende na stranger.
Mkuu mbona siku hizi Khalif Motors tanker zao sizioni bongo kuja kuchukua mafuta.Hahahaha safi sana!!
Leo nimepata truck partner jinsia tofauti [emoji6][emoji6]
Ni muda sasa sipo tz, ila nikirudi ntakuchukua ukasafishe macho..
Kuna dada mmoja ana asili ya Bongo anaendesha scania khalif motors Zambia, yaani ni ana vibe na magari kama wewe
Nagukubali sana hugo mlori mweeView attachment 1346074
Naukubali sana huu mlori
Daaaaa! Sijajua kwanini hawaji mkuu wangu labda walibadili bandari.. je sofi motors unawaona?Mkuu mbona siku hizi Khalif Motors tanker zao sizioni bongo kuja kuchukua mafuta.
Juzi kuna dogo alimwaga marobota ya pamba roundabout ya Nzega. Hiyo gari sio mchezo....suka alilala nayo mzigo wa pamba wote chini....ila chuma ikawa inapepea imeelekea mashariki mpaka kapigiwa miluzi ndo kashtuka kuna tatizoKatika matoleo yote ya scania, designer aliyedesign cabin ya R460 na R470 highline za 2010-2012 namtakia heri ya mwaka mpya aisee!!!
Wote siwaoni mkuu itakuwa wamehamia Beira Port.Daaaaa! Sijajua kwanini hawaji mkuu wangu labda walibadili bandari.. je sofi motors unawaona?
[emoji23][emoji23][emoji23] asantr mkuu. Lkn changamoto iko kwa ruhusa wazee. Ya familia sijawahi fika huko zambia wala congo itakua na mtu nje ya home kweli?[emoji28][emoji28] au maybe kwasababu ni tankers. Maana nayaogopa hata ningeruhusiwa hayo sipandi mimi[emoji28][emoji23][emoji23]Hahahaha safi sana!!
Leo nimepata truck partner jinsia tofauti [emoji6][emoji6]
Ni muda sasa sipo tz, ila nikirudi ntakuchukua ukasafishe macho..
Kuna dada mmoja ana asili ya Bongo anaendesha scania khalif motors Zambia, yaani ni ana vibe na magari kama wewe
Kuna ile scania anachuana na V8 ulionaga?[emoji119][emoji119]Juzi kuna dogo alimwaga marobota ya pamba roundabout ya Nzega. Hiyo gari sio mchezo....suka alilala nayo mzigo wa pamba wote chini....ila chuma ikawa inapepea imeelekea mashariki mpaka kapigiwa miluzi ndo kashtuka kuna tatizo
Kama unapenda kuendesha gari kubwa, kama upo Dar inabidi siku za wiki mida ya jioni uwe unasogea maeneo ya Kurasini Shimo la udongo mpaka karibu na geti namba 4.[emoji23][emoji23][emoji23] nitashukuru Mkuu. Aisee napenda sana haya mambo. Nilitaka share video ya scania ule mngurumo nimeenda kuchukua picha sijui hata ya nani whatsup ushamba huu[emoji23][emoji23] nataka kuupload video nafanyaje. Huku sheria ukipost picha ya mtu wanakupiga ban? Niliona mahali.
[emoji23][emoji23][emoji23] asantee mkuu... nitakushtuaaa siku nikipata nafasiKama unapenda kuendesha gari kubwa, kama upo Dar inabidi siku za wiki mida ya jioni uwe unasogea maeneo ya Kurasini Shimo la udongo mpaka karibu na geti namba 4.
Kuna madogo wqnaendesha town trip hizo Scania, Benz,Howo na Faw jioni wakichoka huwa wanawaachia hata wauza karanga na maji wazisogeze kwenye foleni ya kuingia bandari.
Ukiwa tayari nitakupigia hata chapuo uachiwe hata roli ambalo ni auto, kama mbishi utaendesha hata manual.