Wapenzi wa Harry Potter

Haha ni kweli, walionifanya nipende kuvisoma ni watoto wa dada yangu wakati wanakuwa, na mimi nikajikuta nimo.
Kumbe unavisoma bila hata kujua undani wake?
Hivyo vitabu vimewekwa kwa lengo la kufundisha watu uchawi na ndiomana kuna nchi nyingine kama Arab emirates haviuzwi kule.
 
Yani novel yoyote ikifanywa movie huwa inapungua ladha.....Kuna power ya imagination kwakweli
yes,niliona hata pia niliposoma DA VINCI CODE!
ooooooweh
Langdon hakutendewa haki kabisaaaa!
yani kote tuuu!
natamani niwaambie authors wasiwe wanaruhusu novels zao kuwa acted
,hiyo imetokea hata kwenye DEMON AND ANGELS,ah veeery boring!
watuachage tu tujitengenezee movies wenyewe kichwani!
 
Nimemaliza the Secret stone...
Sasa namalizia the chamber of secret...
Ila nikimaliza kusoma kitabu nafanya kuipitia na movie yake...
Kwakweli kwenye movie inaboa kidogo..!
 
Nimemaliza the Secret stone...
Sasa namalizia the chamber of secret...
Ila nikimaliza kusoma kitabu nafanya kuipitia na movie yake...
Kwakweli kwenye movie inaboa kidogo..!
Hivyo ndiyo nilifanya enzi zile. The philosopher's stone nilikipenda sana, uncle Vernon alipata habari yake.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alizinguana na mshua Harry Potter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…