Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi Jordan One naikubali na ndo ninayo mpaka sasa... Jordan IV nmevaa mpaka nikaichoka, nmeamua kuipaki ndani.. nikitoka huku ntahamia Air Max tu!Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav?
View attachment 3006982
Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
Inaelekea unavaa za bei kali. Hivi vya Kariakoo vingi vinachakaa kabla ww haujamaliza utamu.Binafsi Jordan One naikubali na ndo ninayo mpaka sasa... Jordan IV nmevaa mpaka nikaichoka, nmeamua kuipaki ndani.. nikitoka huku ntahamia Air Max tu!
Hiko kiatu kupata og yake upasuke kweli, I second you.Nadhani ngumu sana kupata. Tunatofautiana copy tu.
Havina tofauti zaidi ya rangi tu.Vyote ukiviangalia vimetengenezwa kwa usanii vifanane na herufi J.Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav?
View attachment 3006982
Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
Binafsi mi mshamba, I feel like Jordan ni za high school boys...Ninayo 1 fupi yake na hiyo 4, shida ya haya maviatu ukivaa washamba wakukushangaa wanakuwa wengi
Uko sahihiBinafsi mi mshamba, I feel like Jordan ni za high school boys...
Japo mkivaa siwashangai nakausha tu.
Hadi kesho naweza kuvaa Js na Tims ni addiction fulani hivi.Binafsi mi mshamba, I feel like Jordan ni za high school boys...
Japo mkivaa siwashangai nakausha tu.
Kwa jinsi ambavyo sielewi mambo ya "fashoni" no comment !Hadi kesho naweza kuvaa Js na Tims ni addiction fulani hivi.