Rocking Js and Tim's is more than fashion. It's culture.Kwa jinsi ambavyo sielewi mambo ya "fashoni" no comment !
Jaman na mimi nilishaanza kutengeneza viatu soon vitakuwa sokoni naomba support yenu wadau mimi ni mtanzania mwenzenu jmn 🌝Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav?
View attachment 3006982
Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
Picha mkuuJaman na mimi nilishaanza kutengeneza viatu soon vitakuwa sokoni naomba support yenu wadau mimi ni mtanzania mwenzenu jmn 🌝
Well, I am happy to learn...Rocking Js and Tim's is more than fashion. It's culture.
Sawa kiongoz ila bado tunahangaikia maswala ya sheria tutaviachia tu hata msijali ila mahoni yenu ni muhimu piaPicha mkuu