Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
Wakuu habari zenu,

Hii ni mada maalum ajili ya wauza magari kukutana na wanaotaka kununua magari.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;

  1. Elezea Gari unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.

  3. Taja bei
  4. Taja mahali Geri hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
  5. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja. Kuweka link ya tangazo hairuhusiwi. Wala Picha yenye Matangazo.

Karibuni sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…