Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Price zake? Alafu nataka ambayo naweza kuwa napiga rought road mara chache na safari za mkoa mwisho wa mwaka.
Bila shaka majibu ya mkuu Nkt logistics yamekutosheleza.
Ipo Subaru Forester ina km 150k, imetumika na mmiliki mmoja tangu inaingia nchini, ipo kwenye hali nzuri sana, inauzwa 9M mazungumzo yapo.
Nadhani kwa masafa itakufaa space ya kutosha kwenye boot tuwasiliane 0689699704
 
Thank but I just received two last month (15/01/2018) both mine & wife.

Thank you very much. Stay blessed. Hiyo Harier niliimport tsh 20Mil, na Suzuki ni tsh 12 Mil.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…