TumekusikiaHabari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.<br /><br />Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
Ko gari unalichukua utakapo maliza hela zote auHabari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.<br /><br />Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
Dah! Hii gar naikubal sana aisee hasa kwa matumizi ya familia.Hii hapa mkuu inataka milioni 8View attachment 728780View attachment 728781View attachment 728784View attachment 728785View attachment 728788
Changamoto mkuu ila nalifanyia kaziRaum new model unayo namba c bei isizidi mln 7
Ova
Bei ni hizo hizo mkuu 8 mpaka 9M, nikutafutie?Dah! Hii gar naikubal sana aisee hasa kwa matumizi ya familia.
Vipi ikiwa ni rangi nyeus ya kungaaa METALIQ ambayo ni used bei yake itakuwa ngapi vile
4 IST needed haraka sang... za toka japan na sio za wananchi hapo..... Kuna 9ml kea kill moja....... inbox me please
10.5M inawezekana4 IST needed haraka sang... za toka japan na sio za wananchi hapo..... Kuna 9ml kea kill moja....... inbox me please
Mbona hujaionyesha ndani ilivyo,mwisho ngapi bei?Toyota Prado
Mwaka:2000
Ilikua na usajili STK
Manual
Bei:10M
Mawasiliano :0689699704View attachment 742774View attachment 742775View attachment 742776
Mkuu unaweza weka picha za ndani pia odometer yake inasoma ngapi?
Bei ya mwisho 9.5MMbona hujaionyesha ndani ilivyo,mwisho ngapi bei?
Hii ishatoka mkuuMkuu unaweza weka picha za ndani pia odometer yake inasoma ngapi?
10ml each nakupa.... 4 kwa 40... cash money10.5M inawezekana
Bila shaka itakua ishauzwa