Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Ipo ya 6.5MMkuu ipsam bei gani
Mkuu nimeipata kwa mbinde usiniangushe basi mkuu wangu tumalize biasharaOK
Automatic
ID yako inanikumbusha National Service 821 KJ BulombolaTupia picha za kutosha kiongozi ni kama inanivutia hii kitu
Mkuu nimeipata kwa mbinde usiniangushe basi mkuu wangu tumalize biashara
Mwaka:2005
1230CC
90000km
Bei:9.5M
Nipigie :0689699704View attachment 763909View attachment 763910
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ID yako inanikumbusha National Service 821 KJ Bulombola
Sawa naendelea kukutafutia mkuuNashukuru mkuu kwa juhudi zako hii inaonesha uko makini na kazi yako
Nimeona mkuu imetulia
Ila nilisahau kusisitizia kwenye CC hapo maana nataka ile yenye engine ndogo 650/660 CC ndo naitaka sana hii kitu
By the way gari iko vzr aisee
Maana mileage yake ni chini laki ya moja
Bila shaka itachukuliwa fasta
Sawa mkuuSawa naendelea kukutafutia mkuu
Hiyo ofa mkuu mtihani sana ongeza kidogoNataka IST na Raum ya cc 1490 au 1290 kuanzia mwaka 2004 kuja mbele.
Bei mwisho 5.5M